Kiwanja kinauzwa kigamboni

Mateso

JF-Expert Member
Aug 6, 2008
259
19
Kuna kiwanja chenye ukubwa meta za uzio 1043 maeneo ya mwongozo Kigamboni.Kwa anayehitaji awasiliane na namba ifutayo mtaelewana bei na mengineyo.0754-210270
 
Wewe uliyeleta tangazo mbona kama unajiweka pembeni as if unaogpa lawama? Je, una uhusiano gani na anayeuza? Ninakuuliza hivi kwa sababu hakuna mtu asiyejua kama kuna viwanja vinauzwa sehemu mbalimbali nchini, sasa unapoleta tangazo unawajibika kutoa taarifa zitakazowafanya watu waamini kwamba business hiyo ni genuine.
 
Tatizo la kujifanya mjuaji kwa kila jambo. Na hapa wataka sema Mwongozo ipo ndani ya Kigamboni New City Plan?

Wewe uliyeleta tangazo mbona kama unajiweka pembeni as if unaogpa lawama? Je, una uhusiano gani na anayeuza? Ninakuuliza hivi kwa sababu hakuna mtu asiyejua kama kuna viwanja vinauzwa sehemu mbalimbali nchini, sasa unapoleta tangazo unawajibika kutoa taarifa zitakazowafanya watu waamini kwamba business hiyo ni genuine.
 
mkuu hyo namba tunapiga jamaa anajifanya halo halo kana kwamba hasikii..kina hati tufanye biashara...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom