2nd HAND FURNITURE FOR SALE IN TANGA CITY

Feb 6, 2009
29
38
Habar za asubuhi.
Nauza furniture. ipo kwenye very good condition. pia na deep freezee moja na fridge ndogo all in good condition.
furniture on sale is kabati,dressing table,dinning table etc. all in a throw away price. ukinunua dinining table,fridge unachukua bure. wahi sasa.
bei tunaelewana baada ya mteja kutoa ofa yake.
contact. 0713 276 892
0786 958110

nipo tanga mjini.
 
siwezi fanya biashara ya kitoto. kama una taka unakuja kuona mwenyewe.

mkuu ... heshima kwanza .... pili biashara hifanywi kwa jazba .... tatu hivi kwa dunia hii ya utandawazi unategemea mtu atafunga safari kutoka DSM mpaka tanga kuja kuona friji na dinning table lol ..... kwa hiyo makampuni ya kuuza magari yaliyopo japan yanafanya biashara za kitoto .... duh .... basi watu wangefunga safari kwenda japan kuangalia magari na kurudi

just an advice if you like .... customer care in business is very important

agrrrrrr.....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom