Library ya wikileaks za bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Library ya wikileaks za bongo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mtazamaji, Sep 6, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ninajaribu kuweka library ya cable zote za kuhusu Tanzania. Zimefichuka

  Hatuna uhakika i kama yaliyoandikwa yapi ni kweli na yapi ni uongo Lakini Jamii ya viongozi wetu na sisi wenyewe tunaweza kujitazama kwenye kioo na kuona Tofauti ya wenzetu na sie wanavyofanya kazi. Tunaweza kuona mapungufu yetu .

  Through kujitambua sisi na kuwatambua wao ndiof tunaweza kujua jinsi ya kudeal nao viuri

  So kwa wale wanaopenda kusama cable hizi katika njia ya kirafiki basi watembelee Zimefichuka

  Kadiri siku zinavyowenda nitakuwa nazihamisha na kuziweka kwenye hiyo blog mpaka. zote zikamilike so far ziko cable 22

  Nawasilisha kwa maoni
   
 2. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nashukuru nimeipenda hii
   
 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  hii siyo copy and paste?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes mkubwa ni copy and paste ila ni library tu na ninafanya filter ya zile za Tanzania tu In the future nikipta mud nitaitazifsiri hizo hizo copy and paste. Ndio maana hata kichwa cha habri nimendika library ya wikileaks za bongo

  Unajua kuna watu wengi wakienda WikiLeaks au hapa http://www.wikileaks.ch/cablegate.html hawajui wafanye nini kuziona hizo cable za Tanzania. Ninachajairbu kurahisisha acess ya hii information.

  Au unashari vipi mkubwa
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamaa anafanya kazi nzuri, hata kama copy paste, kwani mwalimu si anacopy na kupaste kutoka kwenye kitabu, class unaenda kufanya nini si ungekamua tu mwenyewe home?

  Kazi nzuri mtazamaji
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aksante mkubwa jamaa hajakosea sana nina copy na kupaste

  Lakini mimi hapa naua ndege wawili kwa jiwe moja. Dhumuni kuu nilikuwa najaribu kuidadavua hii template ya jeans ya wordpress lakini nikapat idea katika kuifanyia experiment ngoja nifanye kitu fulani. ndio nikaamua hii template nita copy na kupate hizo doc.

  So zaidi ya kufanya document za wikileaks ziwe accesible kirahisi nipo kwenye experiment ya vitendo kuitafiti hii template ya jeans. May be baada ya siku chache atakuta doument zio kwenye jeans nyeusi, au nyekundu au ya kijani
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili ni wazo zuri sana nadhani kwa mambo haya ya mtandao karibu kila kitu watu ni kucopy na paste lakini wengine wanaboa baada ya kutoa msaada yeye anajitia anajua kufafanua kila kitu

  pamoja mtazamaji kwa kazi yako na wazo lako..
   
 8. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kazi nzuri
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hya sio mambo mapya lakini tunona jinsi wenzetu walivyona interanl detail na taifa letu

  Katiko mfumo wa sheria na upambanai na rushwa DFID na USA wananatupa insight juu ya
  • matatizo, changamoto, urasimu ,Incomptence na kurushiana mipira kati ya ofisi ya DPP, PCCB na nyinginezo
  • Kesi kubwa kubwa amabzo ziko pending kwa muda mrefu
  soma cable hii Zimefichuka » Blog Archive » GRAND CORRUPTION CASES' SLOW
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Umeitengeneza mwenyewe hiyo template? kama ndio hebu kuna umuhimu wa kukuPM
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sijaitengeneza mwenyewe ukisoma vizuri comment zangu kwenye hii thread utaona sehemu nimetaja jeans. Lakini nimeweza nnaweza kui customise. Nikitaka background iwe ya jeans nyeusi, kijani. etc So niko katika kuichakachua zaidi ili blogu iwe na tofauti toafuti pale ninapo amua bila uhitaji ufanya coding.

  Kama unaitaka hiyo blues jueans theme unaweza kuipata free hapa Blue Jeans Wordpress Theme - Download Blue Jeans Wordpress Template . Ziko version mbili ya column tatu na ya column mbili.

  Template ya wordpress niliyotengeza mwenyewe ni hii hapa http://teknohama.x10.mx/

  Otherwise karibu tubadlsihan ujuzi . kutengenea tovuti nzuri kwa wordpress haiitaji nguvu kubwa sana kama ilivyokwa Joomla au drupal. Bado naendelea na research ya hii theme nataka nitafute namna nitangeneze kiswahili language pack
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Love the template!!!
   
 14. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,227
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  Big Up Mkuu.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Katika libray ya wikileaks cables kupitia zimefichuka wanadopomasia wa marekani wanatupa uchambuzi ha hali ya uchumi wetu na mambo ya kifedha. Kumbuka hiyo ilikuwa ni mwaka 2006. so unaweza kutafuta dat za sasa kujua kama ni weli tunapiga hatua au tumesimama Soma cable hii kwa kirefu Zimefichuka » Blog Archive » EXPORTS KEY TO TANZANIA'S DEBT SUSTAINABILITY

  Kutokana na cable hii tunaweza kwenda mbali na kujiuliza maswali mengine

  Je sasa hivi tuko wapi?
  what is Tanzania major export?
  what is Tanzania major import?


  Afrika Mashariki

  Kuhusu EAC Nini mtazamo , muelekeo na maoni ya wanadiplomasia wetu na nini Mtazamo wa USA juu ya jumuiya hii?
  Soma
  Zimefichuka » 2011 » May

   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Idara ya Uhamiaji na Usimamizi wa mipaka yetu ikoje?

  Pata isight kujua udhaifu ulipo POE( Point of entry ) kama za Kagera, Mara, Kigoma. Vifaa vya kisasa na umihimu upo kwenye viwanja vya ndege na Namanga pekee

  Hii ni sehemu pia ya kipande cha udhaifu wa vyombo vyetu vya usalama kutopeana taarifa
  Kumbuka : KUtopeana taarifa kwa vyombo vya usalama kulichangia na kuliwaponza wamerekani kwenye janga la september 11

  Soma habari kamili Zimefichuka » Blog Archive » GLOBAL PURSUIT OF TERRORIST INFORMATION
   
 17. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwenye Wiki ukisearch by origin unapata Cable Viewer
  Kila la heri
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je cable zinasemaje na Walikuwa wana maoni ganijuu ya ufisadi

  • juu ya Rais wetu na vita Ufisadi?
  • Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU na mikakati aliyojiwekea
  • Kipimo ambacho ch mkurugenzi wa TAUKURU alibaninisha inatakiwa kuwa kipimo na ufanisi ufanisi wa kazi yake
  Soma cable hii http://teknohama.x10.mx/bongoleaks/?p=302 upate insight na dira ya TAKUKURU

  Maswali Je

  • kama wakubwa wenyewe wa vyombo vya usalama wana wasi wasi na masiha yo vipi raia wa kawaida?
  • "big fish" ambao boss wa takukuru alisema ndio kipimo cha ufanisi wake sasa hivi wako ukonga au bado wako "masaki "
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
Loading...