Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
604
Points
0

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
604 0
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517 808 tufanye biashara.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,594
Points
2,000

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,594 2,000
Business ethics muhimu. M-pesa unawajibika kutoa ukweli wote. Maeneo ya Mbutu yako kwenye mradi wa kigamboni city na wizara ya ardhi imeshapeleka taarifa kwa wakazi kupitia ofisi ya mkuu wa wilaya ya temeke kuwa anytime from now shughuli ya tathmini ya mali zilizopo itaanza ili walipwe fidia na ardhi igawiwe viwanja.kama mtu atakubali kununua maeneo hayo ajiandae na hali hii.
 
M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
604
Points
0

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
604 0
Acha kudanganya watu, mimi na jamaa zangu tunamiliki ardhi huko. Na tulisha fika hadi wizara ya ardhi kufuatilia taratibu za kupima maeneo yetu. Hakuna mradi wowote maeneo ya mbutu, na mimi ninamiliki ekari tatu .....natoa moja ili ni solve issue zangu. Kwa hivyo nitakeyemuuzia atakuwa jirani yangu na tutashirikiana nae kufuatilia mambo ya upimaji.
kwa sasa nimeshachukua coordinates za eneo lote, na eneo ni salama. Hizo habari zako sidhani kama una grounds zozote za kuthibitisha.

Business ethics muhimu. M-pesa unawajibika kutoa ukweli wote. Maeneo ya Mbutu yako kwenye mradi wa kigamboni city na wizara ya ardhi imeshapeleka taarifa kwa wakazi kupitia ofisi ya mkuu wa wilaya ya temeke kuwa anytime from now shughuli ya tathmini ya mali zilizopo itaanza ili walipwe fidia na ardhi igawiwe viwanja.kama mtu atakubali kununua maeneo hayo ajiandae na hali hii.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,594
Points
2,000

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,594 2,000
M-pesa, sina haja ya kuthibitisha chochote hapa. Nimeongea jambo la ukweli ili atayetaka kununua ajue hilo na yeye ndio anapaswa kuwa interested na kuthibitisha nilichokisema, akiridhika anunue. Lengo langu sio kukuharibia biashara ila kama raia mwema ninawajibika kueleza ukweli. Na huko Mbutu kuna mradi wa airpot pia unakuja.
 
Forum statistics

Threads 1,391,489
Members 528,416
Posts 34,082,502
Top