Nyumba ya kupanga

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,557
Points
1,170

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,557 1,170
Salaam wanajamii, naombeni kama kuna mtu yeyote mwenye aidha kujua au kusikia kama kuna nyumba/chumba cha kupanga maeneo kati ya Upanga,jangwani au karibu ya maeneo hayo hasa karibu na Muhimbili.
Natanguliza shukrani.
 

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,557
Points
1,170

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,557 1,170
Ahsante Kijigo Junior, Ila kwa bei hiyo sina ubavu hata kidogo wa kulipia milion na nusu kwa mwezi.
 

Forum statistics

Threads 1,391,483
Members 528,414
Posts 34,082,301
Top