Kiwanja Kinauzwa

Kiwanja Kinauzwa

Tumba

Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
37
Reaction score
2
Wadau Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 20 kwa 30. Kiko maeneo ya Moshi bar kwa mkolemba jirani na Kanyigo bar. Umeme na maji yanapatikana hapo hapo. Bei 9m. Real buyers mni PM.
 
Moshi Bar iko wapi? DAR (KIMARA, TAABATA, ...?), ARUSHA (NJIRO, ...),

Weka wazi
 
Wadau Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 20 kwa 30. Kiko maeneo ya Moshi bar kwa mkolemba jirani na Kanyigo bar. Umeme na maji yanapatikana hapo hapo. Bei 9m. Real buyers mni PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom