Anatafutwa!

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Hivi majuzi nikiwa Wa kushuhudia uchaguzi nilipata kuwasiliana na jamaa mmoja muhimu sana na tulipotezana ghafla baada ya yeye kuwa akielekea nyumbani. Kwa mwana JF anayefahamu contact details za Wilbald Sebastian Lyimo au any close relative wake ili mradi msaada tu nipate contact zake please ajibu katika thread hii then nitakuwa na mengi ya kuelezea kuhusu tukio hili hapo baadae.
 
Mkuu, hata kama kuna jamaa yake anamfahamu anatasita kusema kulingana na ishu yenyewe ulivyoiweka! Funguka.
 
Huyu jamaa alikuwa na mboni za utabiri wa hali ya siasa nchini na ni mwaka sasa mambo yamekuwa exactly kama alivyokuwa akijadili baada ya uchaguzi. Sikuweza kupata contact zake na kuna mambo kadhaa ningependa tujadili na klubalishana mawazo katika career yangu kwa sasa. I dream someone will do this for the favour of my career. Asante.
 
Back
Top Bottom