viwanja vinauzwa bei nzuri

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Viwanja vyenye sura ya mashamba vinauzwa, vipo katika kijiji che Kerege, kijiji cha pili toka Bunju katika barabara iendayo Bagamoyo. Viwanja hivyo vipo umbali wa kilimomita 1 kutoka Bagamoyo Road. Vimegwanya katika vipande vya mita 20 x kwa 20. Bei ya kipande ni sh 2mil. karibu.
Mawasiliano 0717114409 0755312233
 
Eneo zima lina ukubwa gani? Barabara ya mpaka kiwanjani ikoje? Majirani wapo? Nipm namba yako nije kuangalia kesho.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom