Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rav4 Manual Estate, 2.0L, petrol ya 2002 inauzwa. Imetoka UK na imelipiwa ushuru, imeandikishwa na road licence. Imefika hapa nchini mwaka huu na hajitumika nchini. Ni rangi ya dhahabu na kila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WANA JF Natafuta watu waliosoma Leganga primary School Usa River Arusha kuanzia mwaka 1982-1988. Akina Muhammad Ali, Israel, Hariri Khamisi, rehema, Yolanda, Zakaria Simon, msafiri na wengineo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
SHAMBA lipo moshi vijijini kata ya mbokomu kijiji cha korini juu, shamba lina eneo la kiwanja cha kujenga, lina migomba na kahawa,bei maelewano piga 0716692928 au 0752381305 na o686296385.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Tumaini University-Iringa,naingia mwk wa 2,naomba sana waungwana na wakuu mlio humu msaada wenu either kuni"sponsor" au kunidirect ili nipate sponsorship.nitaprovide details...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa ipo tbt kimanga karibu na kanisa la KKKT kimanga, ina pande mbili, kila upande unajitegemea luku, 2 bedrooms,bafu na choo,jiko seating room. Ipo ndani ya fence unapack magari...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari! Naomba mwenye kufahamu hivi viti (folding alminium chairs, na vile ambavyo ni unfolding) vinauzwa sehemu / duka gani hapa dar anielekeze. Nitashukuru pia nikifahamu bei zake in advance.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wandugu nipo nje ya tz nimeomba ndugu na marafiki wanisaidie kutafuta kaplot ka kujenga but wananiambia ni gali sana si chini ya mil 15 naomba mnisaidie kama mnajua vilipo na bei zake wakuu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF. Nisaidie natafuta mkopo wa fedha kidogo nimepata dharula, yeyote anaye fahamu wanapotoa au mtu anayekopesha kwa riba anijulishe hapa
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nahaitaji sana mkopo wa one million narudisha ndani ya miezi miwili kwa riba ya laki na nusu jamani nisaidieni nimlipie wife ada
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kipaumbele ni iwe manual. hii ni siriaz.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa yangu mmoja aliniuliza jana, ni wapi anaweza kupata mkopo wa haraka Tsh. 1.5m ili akalipie ushuru wa mali yake bandarini halafu atarudisha ndani ya mwezi mmoja with 10% interest. Yuko...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tunatengeneza mabango ya matangazo kwaajili ya maduka, salon, ofisi, taasisi, hotel, pharmacy n.k katika ubora wa hali ya juu, bei nafuu na haraka tupo kariakoo mtaa wa amani na chui 0716 002790...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu kwa yeyote anayejua wanakopatikana pupies wa Germany shephered msaada tafadhali!nahitaji asiwe mkubwa awe na umri wa miezi 2-3. Nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 4 mpaka kumi linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa. KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hello flash . za jumla za kuuza zina patikana . ni original . zia warraty miaka miwili + . karibuni
0 Reactions
4 Replies
5K Views
am selling a starlet (1995, manual), its in a good condition. its KM reading is 155,000 the last price I can accept is 4.0 million no negotiating below that unless you what to offer a higher price...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FOR SALE HEIDELBERG SM 74 2 COLOUR 1994 MODEL. RUNNING CONDITION - 49 milion impressions only ASKING PRICE $75,000 NEGOTIABLE contact us on sales@speedyprint.co.tz or call 0685 10 60 60
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo kimara stop over. Self contained ya vyumba vitatu, jiko, sebure na dinning, ni nyumba ya zama hizi.Imejengwa juu ya uwanja wa eka moja. Bei tshs 55mil. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nisaidieni jee kwa sasa kilo dar au mwanza ni sh ngapi ,na kama unamjua mnunuzi 0717426636
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Is finding a home or office frustrating? Are you tired of being coned? myDalali is a platform and tool that enables you find what you need in a most efficient and effective way. We minimize cost...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom