Nyumba inauzwa bei nzuri.

Nyumba inauzwa bei nzuri.

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365
Ipo kimara stop over. Self contained ya vyumba vitatu, jiko, sebure na dinning, ni nyumba ya zama hizi.Imejengwa juu ya uwanja wa eka moja. Bei tshs 55mil. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409

 

Attachments

  • IMG_0124.JPG
    IMG_0124.JPG
    69.2 KB · Views: 88
  • IMG_0120.JPG
    IMG_0120.JPG
    52.2 KB · Views: 81
  • IMG_0122.JPG
    IMG_0122.JPG
    48.2 KB · Views: 77
Hii nyumba ina matatizo gani? zaidi ya miezi sita sasa naona inatangazwa, but mnunuzi hajapatikana!
 
Hii nyumba ina matatizo gani? zaidi ya miezi sita sasa naona inatangazwa, but mnunuzi hajapatikana!

Imejengwa eneo la wazi. Wabongo hatuoneani huruma kabisa. Tunaingizana mkenge tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom