HOTEL / GUEST HOUSE ( UNFINISHED- IKO LEVEL YA LENTA ) INAUZWA , INA VYUMBA 40 VYOTE SELF CONTAINER, MAJENGO MAWILI, IPO MOROGORO ENEO KUBWA NA ZURI SANA, DOCUMENTS ZOTE INTACT.BEI MAELEWANO ie...
Residential Building Services (RBS) a turn-key provider of integrated commercial building and residential building development solutions.RBS is registered in the United Republic of Tanzania with...
Nauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida.
Hayajachakachuliwa.
Dumu la lita tano ni shi. 18,000
Na dumu kubwa 70,000
Yapo mengi ya kutosha
Wanunuzi naomba wani PM
Upande wa mshariki lina urefu wa mita244, upande wa kaskazini, lina upana wa mita247, upande wa magharibi,lina urefu wa mita280 na upande wa kusini,lina upana wa mita123. Shamba lipo kimbiji...
Kwanza naomba mnisamehe, mie nataka kufanya biashara ya vitu vya bei mbaya na high quality maeneo ya posta mpya, kariakoo, ila sasa sijajua jinsi ya kupata duka la kulikodi. Je kuna kampuni...
Wakuu mwenye kuhitaji used Blackberry Curve 8310 GSM unlocked
Imetumika kwa miezi kama 8
Specification zake please just google
Bei 250,000/= na ipo katika hali nzuri sana
Gurantee 3 months
Kama...
Wadau naombeni ushauri kuhusu Mercedes Benz A-Class A160 AMBAYO NIMEWEKA LINK YAKE HAPA.JE HIZI NI NZURI? SPEAR ZINAPATIKANA.BEI YAKE CIF WANASEMA NI US $3415.jE NI...
Jamani mimi sina tangazo ila ninaswali kuhusiana na matangazo mbali mbali tunayoyasikia redioni hasa kwa makampuni ya simu....
Ivi wanaposema kila baada ya tangazo kuwa masharti na vigezo...
Kipo Goba mpakani karibu na Goba Secondari. Ukubwa ni 40*37
Ni rahisi kufikika toka Mbezi ya Kimara ni dakika 50,kipo karibu na barabara.
Hakijapimwa na hakina hati.
Bei ni 6 million
kwa...
Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi),yaani bila kulipia kwenye huduma za blackberry wakuu!!!!Kuna Blackberry 8820(zina Wi-Fi),Blackberry...
asalm alekhum waungwana ! mimi ni mkulima wa tangawizi kigoma ,nilikuwa naomba msaada wa mchakato wa kuuza tangawizi zangu kama 20 tons hivi ,kiusalama maana naogopa kutapeliwa na wahuni ,pia kama...
Habari za kazi Wana JF wenzangu,
Nilifiwa na Mama yangu mzazi tarehe 26/06/2011 na mazishi kufanyika tarehe 29/06/2011, niliondoka kwenda nyumbani (mkoani) tarehe 27/06/2011 kuwahi mazishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.