Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina milioni 4 wadau , nahitaji starlet au vitz
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiwanja ambacho hakifiki hata ekari moja, kinauzwa mbezi beach africana, njia ya kwenda kwa bariwiwe- kipo karibu na shule ya msingi salala. Kina banda lenye vyumba vitatu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kiwanja kizuri kabisa kina 2200sq mtr, bei yangu ni 7000 kwa sqmt moja, so ni 15,400,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua kwa show room, bei ya nisan x-trail, na isuzu wizard mpya na used ni shilingi ngapi hapa Dar?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
GARI YA KUNUNUA INAHITAJIKA 2.8 HILUX, PICK UP, DOUBLE CABIN, TOYOTA. kwa mawasiliano,Piga O784 4193O
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Eti VODACOM wanatoa msada wa pole kwa wazanzibar wakati, Tukio linatokea wao ndo walikuwa wanasherehekea kumsimika miss mpya. Wazanzibar msijaribu kuchukua izo pesa hata wakiomba msamaha hawana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Lipo manyara karibu na serena hotel bei ni makubaliano. email. babalacky@yahoo.com au pm kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJamvi, nauza kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, kipo Buyuni eneo lililopimwa na wizara ya ardhi mwaka 2006/2007. kipo located sehemu nzuri sana as per the plan, kinalipiwa rent kila mwaka na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hello wana jf, naomba kujuzwa utaratibu wa kufuata kama nahitaji vyumba/apartment katika nyumba za NHC pale mwenge., natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are specialized in all kinds of rattan furnitures such as Rattan Dining Room Sets,Rattan and Wicker Bedroom Sets,Rattan Living Rooms,Causal Furnitures with over 100 different designs. Our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu nimepita wilaya nyingi kutafuta maisha nimekutana na kitu adimu sana nchini humu. Nilifika wilaya ya kilindi mkoa wa tanga wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, nilifika...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Hi waungwana.Naomba mnisaidie ni wapi ninaweza nikanunua battery la dell d620 kwani nililo nalo halinifai kabisa kwani limekwisha sana,yaani haliwezi hata kutunza charge hata kwa dakika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
samahanini wakuu! Naomba msaada wa calculation au jinsi ya kupata kodi ntakayo lipa kwa TOYOTA NOAH YA MWAKA 1997 yenye CIF ya Dola 3100,kwa systeam mpya ya TRA.natanguliza shukrani zangu!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nafanya,office patition.&lt;br /&gt;<br /> Windor fitting.&lt;br /&gt;<br /> Dor fiting.&lt;br /&gt;<br /> Na showcase desin&lt;br /&gt;<br /> Natafuta tenda maofficeni na kwa watu binafsi, níite...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa pamoja tunasikitika kutoa salamu hizi za rambirambi kwa jamii ya afrika na mashariki. imekuwa wiki ngumu na yenye majonvi kwa mataifa ya Tanzania hasa visiwa vya Zanzibar na Kenya mji wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji fremu kariakoo na mwenge kwa ajili ya kuuza vitu vya watoto kama vile nguo na accessories zote. Kwa Kariakoo sitaki duka zima bali nahitaji wao wanaitakizimba au 'goli". mwenge nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta power suppy ya laptop aina ya COMPAQ EV N610C nipigie kwa namba 0714260821 kwa mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom