Dell latitude d620 battery

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Hi waungwana.Naomba mnisaidie ni wapi ninaweza nikanunua battery la dell d620 kwani nililo nalo halinifai kabisa kwani limekwisha sana,yaani haliwezi hata kutunza charge hata kwa dakika 20.Mnaweza kuona jinsi ninavyokerwa nayo.
 

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
11,242
Points
0

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
11,242 0
Hiyo Model ya Long Time Sana na hata ukijapata nayo itakuwa ni ya long time pia but usikate tamaa tafuta watu waendao China Guangzu zipo tele zimejaampaka aibu
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Mkuu betri zipo hapo KVD!Ipo mtaa wa makunganya!karibia na ile BP iliyopo nyuma ya ex-telecom samora Dar ES Salaam,sijui uko wapi kaka!
Kaka kwanza nikushukuru sana kwa moyo wako wa kupenda kuwasaidia waliotindikiwa kama mimi.Kwa wengine si lazima uandike,kama huna jinsi ya kusaidia ni bora ukanyamaza,utaonekana mstaarabu hata ni mpumbavu.Mi naishi Kahama kwa sasa ila narajia kujiunga na chuo fulani huko Moro mwezi ujao,nitakapokua huko itakwenda mitaa hiyo kupata bidhaa hiyo.ASANTE SANA
 
Joined
Dec 1, 2010
Messages
68
Points
0
Joined Dec 1, 2010
68 0
[h=1]NEW Battery for Dell Latitude D620 D630 D630N D631 D640[/h][h=1]Mzee kama bado hujaipata hiyo battery ya laptop yako, sisi tunaweza kukuagizia kutoka New Jersey, USA ambako tumezipata mpya. Bei yetu ya sokoni ni $ 76.63 na gharama ya kuisafirisha mpaka Dar ni $ 15.00 hivyo jumla ni $ 91.63 au equivalent in Tshs kutegemeana na soko la madafu hapo Dar siku unayokuja kulipia. Utalipia ikishafika Dar kwa agent wetu aliyeko karibu na Posta mpya hapo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi au kama unahitaji kitu kingine chochote ambacho huwezi kukipata kwenye masoko ya kawaida hapoTanzania basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.[/h]
 

Forum statistics

Threads 1,391,110
Members 528,361
Posts 34,073,833
Top