Naomba kujua..

Naomba kujua..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,410
Reaction score
722
Wadau naomba kujua kwa show room, bei ya nisan x-trail, na isuzu wizard mpya na used ni shilingi ngapi hapa Dar?
 
Wadau naomba kujua kwa show room, bei ya nisan x-trail, na isuzu wizard mpya na used ni shilingi ngapi hapa Dar?
<br />
<br />
Ebwana mbona unatafuta matatizo hizo zote unazotaka sio gari ni disposable, jikakamue utafute Toyota.
 
Ahasanteni kwa kunijuza.. Maana me nina 14 milions.. Nataka gari nzuri ya kutembelea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom