Kiwanja kikubwa (low density) Kinauzwa, kiko Buyuni

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Kiwanja kizuri kabisa kina 2200sq mtr, bei yangu ni 7000 kwa sqmt moja, so ni 15,400,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.

Shukran.
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Buyuni ni Dar es salaam, wilaya ya ilala. Mbele ya gongo la mboto. Ukiwa unaenda chanika ipo upande wa kushoto. Kutoka town mpaka buyuni ni 34km appx. Eneo ni la mradi wa Serekali, viwanja viliuzwa mwaka 2006/07, kuna barabara nzuri tu za kifusi na kokoto zilizochongwa na serekali. Kutoka barabara ya chanika mpaka kiwanjani ni 3km. Kumeshaendelea vya kutosha, kwani wengi waliouziwa wameshaanza kujenga. Kwa maelezo zaidi, nipigie nikupe taarifa zaidi.
 

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,953
2,118
Mleta mada ya kuuza kiwanja, ebu tupe updates, hapo awali huko Buyuni kulikuwa na wanyama Simba wakipitia wakati wakidhurura toka Rufiji / Selous. Kiwanja hicho nakitamani lakini naogopa kuwa lunnch ya simba, hali ya sasa ikoje?
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Mleta mada ya kuuza kiwanja, ebu tupe updates, hapo awali huko Buyuni kulikuwa na wanyama Simba wakipitia wakati wakidhurura toka Rufiji / Selous. Kiwanja hicho nakitamani lakini naogopa kuwa lunnch ya simba, hali ya sasa ikoje?
<br />
<br />

Aisee jiografia imekupitia kando mkuu. Selous na gongo la mboto wapi na wapi. Nb: hakuna wanyama. Kuna raia wanaishi mkuu. Ingekuwa vema ukaenda kupatembelea na kuona maendeleo yaliyo huko.
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Well, baada ya kupata simu kadhaa kutoka kwa wadau, imenibidi niweke hili sawa. BUYUNI HAIKO BAGAMOYO ROAD. To be frank, hakuna kiwanja chenye title deed ya miaka 99 kipo bagamoyo road utauziwa kwa 15.4m hata kiwe na 600sqmtr. Kwahiyo let's keep our hype aside. Kama huna 30m +, habari ya bagamoyo road isahau ndugu zangu. Tena na hii double road ya john pombe magufuli, ndio kabisaa.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom