Fremu zinahitajika Kariakoo na Mwenge

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Nahitaji fremu kariakoo na mwenge kwa ajili ya kuuza vitu vya watoto kama vile nguo na accessories zote. Kwa Kariakoo sitaki duka zima bali nahitaji wao wanaitakizimba au 'goli". mwenge nahitaji fremu kubwa. Pia kwa kariakoo niko tayari kushare fremu kama ni kubwa. kama unayo au unajua namna gani naweza kupata tafadhali changia.
 
Kaka, kwanza habari za kazi.kulingana na utakajiwako wa frem kwa maanaya goli kariako sijui nikusidiaje? Ila kwakua wana jf.sote nikama ndugu. Hebunicheki kuptia no.0652 394427 nipo mt.congo na somali kipande karibuna ofice ya usafirishaji mizigo mikoani superman.
 
Back
Top Bottom