Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

Fusofuso

Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
10
Points
0

Fusofuso

Member
Joined Sep 13, 2011
10 0
Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi hapa nchini takribani miezi 18 sasa. Usajiri wake : T......BBR
View attachment 37139 View attachment 37140

Niwie radhi, ninajua kuwa hii si sehemu ya Biashara katika Jamvi hili. Lakini mbona hata kwenye sehemu za warsha, semina, mikutano, sehemu za Ibada, baa n.k watu hupitapita na biashara ndogo ndogo.....Naomba mnivumilie japo kiduchu, maana hii ni sehemu yenye wadau wengi sana!! K
 

DullyM

Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
74
Points
95

DullyM

Member
Joined Mar 24, 2011
74 95
Kaka kwa kutoa ushauri tu!! ungetuwekea picha both za ndani na nje ya gari, ukaongeza na specifications kidogo na isingekuwa mbaya kama sisi wengine tungejua bei yake inaanzia kwenye mtindo gani!! hapo hizi picha zimepigwa kama vile mtu alikuwa ananyatia kupiga picha huku asionekane kwa mbali. tuonyeshe Cabin iko kwenye hali gani na wenye nazo lazima wataichangamkia tu. natoa ushauri tu kaka!!
 

Forum statistics

Threads 1,392,830
Members 528,722
Posts 34,119,109
Top