Kiwanja kinauzwa, Tshs. 28 ml. Mbezi beach

Shadya

Member
Sep 14, 2011
87
37
Kiwanja ambacho hakifiki hata ekari moja, kinauzwa mbezi beach africana, njia ya kwenda kwa bariwiwe- kipo karibu na shule ya msingi salala. Kina banda lenye vyumba vitatu.

Kiwanja kisichofikia hata ekari moja kinauzwa mbezi beach afrikana njia ya kwenda kwa barikiwe, kina banda la vyumba vtatu.

Ila hapo nadhani ni kun/sal/409 sina kumbukumbu kidogo, hicho kiwanja kinauzwa na watoto, kilikuwa cha mzazi wao (mama) amefariki sasa hawa watoto hawaelewani ndo wameamua kuuza wagawane kitakachopatikana.

We nduka, yaani hapo kilupo huwezi amini hakuna mabonde na kuna view nzuri ya baharini, ni barabara ya huku ndio sio nzuri, ila huwezi kulinganisha na unakofikiria ni sehemu nzuri tu na kumetulia.

Kwa watu ambao wameishi Dar,

Hii ni kunduchi/salasala

Kwa nini unadanganya kuwa kiwanja kipo mbezi beach, haipendezi.

itakuwa wewe huijui mbezi beach vizuri, no. Za huku juu kama unaenda salasala ndo zilivyoandikwa hivyo, labda useme sisi wakazi hatujui tunakokaa maana mimi ndio nakaa nyumba ya tatu kutoka kiwanja hicho.

Tupo pamoja Shadya, umesahau na kuwaambia pia kuna view nzuri sana ya maporomoko ya ardhi hasa wakati wa mvua.

nduka, unajua wewe hujui unachokizungumzia yaani hufiki kabisa kwa barikiwe ila kipo nyuma ya shule ya msingi salasala hapo iko juu hakuna bonde katika hicho kiwanja.

itakuwa wewe huijui mbezi beach vizuri, no. Za huku juu kama unaenda salasala ndo zilivyoandikwa hivyo, labda useme sisi wakazi hatujui tunakokaa maana mimi ndio nakaa nyumba ya tatu kutoka kiwanja hicho.

Hichi kiwanja kipo kund/sal hii ni kunduchi salasala na siyo mbezi beach, to make the matter even worse kiwanja kiko pembeni ya shule ya msingi salasala.

Hichi kiwanja kipo kund/sal hii ni kunduchi salasala na siyo mbezi beach, to make the matter even worse kiwanja kiko pembeni ya shule ya msingi salasala.

sasa kwa mimi nisie jielewa bado huja nisaidia nifafanulie nikuiteje basi, kwa maana sijitambui.

Vitu muhimu katika mambo ya kiwanja ni Kimepimwa?
Ukubwa?
Maji?
Umeme?
Neighborhood?

Vitu muhimu katika mambo ya kiwanja ni Kimepimwa?

Ukubwa?

Maji?

Umeme?

Neighborhood?

shark, hapo umezungumza best na umeme wake ni ule wa wazo hill, ingawaje hilo banda halina umeme yaani hiyo line inapita hapo.

Kwa watu ambao wameishi Dar,

Hii ni kunduchi/salasala

Kwa nini unadanganya kuwa kiwanja kipo mbezi beach, haipendezi.
MJ, sikuhizi wakazi wote wa Mbezi baada ya Lugalo wanajiita wa Mbezi Beach! wakimaanisha Dar kuna Mbezi mbili ile ya Kimara na hii ya Beach , jee umeshasikia Tegeta Beach? nako ni Mbezi Beach.

Zamani kuna watu wakisoma Mbuyuni huku wakijiita walisoma O'bay!. Kuna watu wanaoishi Buguruni huku wakisoma Tambaza wanapanda mabasi ya Posta then ya Mwenge na kushukia Palm Beach na kujiita watoto wa Upanga!. Ndiyo haya sasa ya Kunduchi Salasala kuitwa Mbezi Beach ili kuhalalisha kaeneo ka high density kuizwa kwa milioni 28!.

Similar Discussions

Back
Top Bottom