Wana jf, nina fuso yenye uwezo wa kubeba tani 10. Natafuta tender ya kufanya kazi inayolipa. Haijalishi inaenda wapi tanzania hii. Japo safari za karibu na dar zinapewa kipaumbele.
Mwenye...
Laptop dell latitude D620 for sale. Ipo dar es salaam, kawe. Ina halinzuri inafanya kazi vizuri. Ina wireless Wifi, bluetooth, internal mobile phone, sc card reader. Bei laki nne tu. Call me...
Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi (10) linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi kijiji cha pili toka Bunju, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja...
Hp pavilion dv6 laptop 3Gb ram 2ghz core dual processor 150Gb Hdd Dvd rom and webcam @ 450000 only
Hp laptop 2Gb ram 1.5Ghz processor 40Gb hdd @ 350000 only [already sold]
call 0767435430
Two-bedroom apartments located in Mbezi Beach are now up for rent. These are newly constructed apartments that have not been occupied before. Each apartment features an open-plan sitting-cum...
kipo twangoma km17 kutoka ferry kina ukubwa wa mita za mraba 984.
kimepimwa na kina hati halali.
mbele kina open space kubwa inaweza kutumika kwa bustani ya mbogamboga
kinafikika vizuri.
kipo...
Wanajanvi msaada wenu unaitajika,mwenye contact na hawa watu 1.Betson Gosbert aka mwalimu huyu ni ndugu yangu ila tumepotezana naye wakati anamaliza UDSM
2.Veronica James Temu nina cheti chake...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 6-day Intensive program geared toward developing knowledge and practical skills necessary to perform ICT Audit, Risk Management and...
Shamba lenye ukubwa wa eka tisa linauzwa, lipo katika kijiji cha kurege, kijiji cha pili toka Bunju. Shamba hili linapakana na barabara ya lami. Lina nyumba mbili. Pia na msingi wa kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.