Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

A Beach plot measuring 22123Sqm/ 6Acres,located at bagamoyo tourist destination about 45kms from Dar es salaam city centre. Price:Negotiable Contact:+255 717 740 341
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HOTEL / GUEST HOUSE ( UNFINISHED- IKO LEVEL YA LENTA ) INAUZWA , INA VYUMBA 40 VYOTE SELF CONTAINER, MAJENGO MAWILI, IPO MOROGORO ENEO KUBWA NA ZURI SANA (nyuma ya stand ya mabus msamvu , Opposite...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa wanajamvi Babu yenu hapa nina kapick kangu kalipata ajali hivi majuzi na hivi sasa tunavyoongea tumegundua kuwa chassis imepinda kidogo kwa mbele. Hali hii imepoteza mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A good location for petrol station available in Arusha .Contact to 0653 088887
0 Reactions
0 Replies
946 Views
BIZ Knowledge bure: Kunawatu watu wanajiita wajasiriamali lakini wako nyuma kwenye kujitangaza au ndo hawafahamu coz zipo forum,blog na baadhi ambazo ni free of expressions kusema chochote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona jigambeads.com wanatoa kazi ila kwa njia ya tofauti kabisaaaaaaaaaaa.Hii ni style mpya. Kwa sasa mnaweza kuwa mnaturahisishia kazi sisi. Hapa hata nikiwa nyumbani naweza kufanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je wandugu kuna mwana jamii humu anaweza kutuhabarisha, kuhusu mzawa anayetengeneza boat za fibre glass hapa nchini? Anwani zake na physical address. Na ubora wa boat zake na viwango kwa ujumla?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
---------- ACEAXIS LIMITED -------- 100% *OFFICIAL* AUTHORIZED DEALER 100% Brand New in Box – Genuine Guaranteed 100% Lowest Price Guaranteed (Price Match May Apply) 100% FULL Warranty with setup...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kutaka kujua tuu juu ya hilli. Kwani wapo waliopoteza hela zao kwa kutangaza biashara zao, na wapo waliofaidika pia. Je? Njia rahisi ya kufanya hili na likatambulika kwa haraka ni ipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, ulishawahi kusikia au kuona mtandao unaowasaidia watanzania kutangaza matangazo yao kwa bei poa? JigambeAds TanzaniaKwetu Mitandao hiyo hapo juu inamwezesha Mtanzania yeyote kutangaza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kujua zaidi wapi nitakuta tovuti tofautitofauti za bongo ili nichague pa kuweka Tangazo langu!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkombozi anakuja kwa kasi nchini humu. anajiita jigambe.com Kama vp we ni sms kwa a.rashid@jigambe.com utapata maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya wadau asiye na gari na analihitaji msimu umefikia, Toyota Starlet ya 1999,5 doors, manual, white -minor body repairs chini- 1,999,999TShs. Toyota Corola 1995, white, manual ,5 door NO...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Zinatusaidia, zinatuhamasisha na pia ni rahisi kuzitumia ni zimejazwa na neno jigambe kwahiyo product zote ni zao ukiziona usijaribu kuzipita bila kuziclick tupo pamoja wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, nimechoka kukanyagwa na abiria wenzangu wa daladala, nahitaji kuwa na chombo cha kunisaidia kutoka sehem moja mpk nyingine. Nipo Dar, nahitaji gari aina ya TOYOTA OPA ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wakazi wa Mwanza anayeuza computer used tuwasiliane kwa email, aaron_chillo@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Leo nimewaletea Toyota voxy. Year-2002, ni auto, inatumia petrol, mile age 80,000km, ina automatic engine startup(yani unaweza kuiwasha ukiwa hujapanda uko nje), ipo katika hali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu natanguliza heshima, Naomba kujua mwenye GX 110 kwa ajili ya harusi kuanzia 0930am -2000Hrs,ili mradi iwe kwenye hali nzuri. Ni DSM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji iphone 4 kwa laki 4 ,mwenye kuuza ani PM
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD,msaada Wakuu,kama yupo ani PM,asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom