cars 4 sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cars 4 sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kinyoo, Apr 10, 2012.

 1. Kinyoo

  Kinyoo Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  If u need to buy cars,
  call
  0712203565.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  unazo gari gani? Au wewe ni dalali?
   
 3. I

  Iddy Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Which type of cars are you selling?
   
 4. s

  sithole JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hiyo ID yako tu imenifanya nisiulizie kama unazo gari aina gani!
   
 5. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  kinyeo, mie natafuta mercedes benz class E.....

  mwenye kuiuza ni vizuri awe na sifa zifuatazo...

  1. ajue kabisa hii ni ndoa ya kikristo...talaka ni kama hamna...hivyo ajue kuwa sitegemei sana kubahatika kuliuza baada ya hapo

  2. awe ameitunza na kwamba ameishiwa space au kapanda chati zaidi...isiwe kimeo

  3. awe tayari kuipima DT dobie kuwa ni nzima kabla kukabidhiana.....

  4. ajue kabisa kuwa nafahamu kuagiza na kulipa ushuru wa benz reasonable la namna hii japan au uk inaweza kuckok 5 milion..

  4. akubali kupokea si zaidi ya milioni tatu.....itategemea ubora wake

  naomba response au nipm please!
   
 6. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi kinyeo jina jingine ni nn vile!
   
 7. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  MKUUNDUgu yangu maswali yako magumu bwana!
   
Loading...