Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba 3 kwa kiwanja cha 70/50, Msaada kwa anayefahamu kwa kuipata, au mwenye ramani ya kawaida ya 3bedroom house anitumie. Natanguliza shukrani
0 Reactions
22 Replies
7K Views
jf mwenye pikipiki used ani pm nanunua masharti isiwe imetumika kama boda boda aina yoyote
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ps2
Nahtaj ps2 kwa 150,000
0 Reactions
4 Replies
1K Views
(1) Mbao za Dawa kwa Futi Moja. 2x2 400/=ft 2x3 800/=ft 2x4 900/=ft 2x61300/= 1x8 12000/= Kwa Ubao mmoja wenye "Ft 12" 1x10 15000/= Kwa ubao mmoja wenye "Ft12" (2) Mao za Kawaida Zisizo na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nokia E-5 for sale,tsh 250000 ina kila kitu chake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei ziwe kuanzia 300,000-400,000.Pia na viatu bei iwe 100,000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ani pm
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Nauza Blackberry curve 8520 kwa bei ya 180,000 tu. Simu imetumika na iko katika hali nzuri sana. Haina scratches. Camera tu ndio haifanyi kazi. Kwa mawasiliano, piga namba 0714881500. BEI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninauza tiles za sakafuni na za ukutani nina box 700 , natafuta mnunuzi wa kununua box 100 na kukuendelea bei ni Tsh. 23,000/= kwa mtu atakayechukua zote bei itapungua . Havilla Real Estate Agent...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Ni habari njema kwa wenye vitu tajwa hapo juu, kuwa kuanzia mwezi May au June mwanzoni nitakuwa nasafisha hivyo vitu kama vilikuwa vina scratch haviplay miziki vzr basi tiba yake ya milele ina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kununua bajaji kwa ajili ya biashara. Wapi nitapata bajaji nzuri na kwa bei poa. Wenye uzoefu bei inaenda ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nauza nokia 5800 touch screen imetumika ndani yamwezi 1 na nusu tuu bado mya bei ni laki 170mwisho 160 number zangu ni 0656-072553 au 0782-895676
0 Reactions
3 Replies
929 Views
ni kama hii hapa Earphone jack mwenye kupata Earphone Jack ya Nokia N81 aniuzie, pin 1 hapo ilikatika ya2 kutoka kwenye tundu, ambayo ni ya mic!! simu yangu nikichomeka earphone, nackia music tu...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Ninauza gari aina Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc. :car...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za siku mshimiwa wa JF !!! Natafuta KAMPUNI au WATU, wanayo weza kuni saidiya ku tangaza biashara kwenye magazeti mbali mbali. Plz help if anyone knows any agents for newspapers ? PM me...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbao za dawa zinapatikana kwa wingi kwa anae hitaji ani pm.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Simu HTC INSPIRE 4G Inauzwa mpya imetumika kwa miez miwili. sababu ya kuiuza nimepewa zawadi ila nina simu nyingine kwa maelezo zaidi kuhusu simu tembelea HTC Inspire 4G - Full phone...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahitajika Advertising Sales Person kwa ajili ya kufanya sales za signboards and billboards advertising space. Naomba tuwasiliane kwa PM. Asante
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Shamba lenye ukubwa wa heka mbili na nusu linauzwa shilingi milioni 25 maongezi yapo.shamba lina miemmbe,mikorosho na minazi. shamba lipo chanika buyuni unaingia ndani kidogo. kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta suzuki jimmy yakununua iliyo katika hali nzuri aliyonayo anijuze nipe bei
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom