Jee una shida ya kukodi gari kwa ajili ya matembezi wakati ukiwa safarini Zanzibar ?kampuni yetu inakodisha magari kwa ajili ya usafari kutoka sehemu moja kwenda nyengine maarufu kama "Taxi Transfers" na vile vile kwa wale ambao hua waaminifu baada ya kukubaliana tunatoa magari kwa ajili ya kujiendeshea mwenyewe na kwenda safari zako pasipo na shida tuna vijana kwa ajili ya kutembeza wageni.
www.zanzibarcarhire.com
www.zanzibarcarhire.com