pajero io inauzwa

Model 1999 imeingia nchini toka japan Nov 2011. Ni PM kwa amelezo zaidi

Mkuu ingekuwa pouwa kama ungeweka specification nyingine muhimu kama Km, Transmission (M/A), Fuel Consumption, picha na hata bei ya kuuza!

Kimsingi Tangazo lijibu maswali yote ambayo Mnunuzi atakuwa nayo!
 
Tangazo kama la kwenye gazeti la NIPASHE. JF umepewa nafasi uitakayo, tena bure; FUNGUKA!
 
Vijana nimepata maoni yenu ila nadhani hata uki pm ni huduma ya haraka. Acha namba yako ntakupigia nikupe maelezo na hata kukutafuta kukuonyesha gari.
 
Vijana nimepata maoni yenu ila nadhani hata uki pm ni huduma ya haraka. Acha namba yako ntakupigia nikupe maelezo na hata kukutafuta kukuonyesha gari.

Tusichokihitaji ni kupigiwa simu na kutajiwa bei za show room au raia wasizoziweza... Ni vema ukawa muwazi mapema ili asiye na uwezo akae kando...
Sio kama watu hawajui PM, au hawana credits kwenye simu... Ni kupata maelezo yanayoridhisha kabla ya kufanya maamuzi ya kumtafuta muuzaji. Mf kama unauza gari iko ndani ya budget yangu, lakini ni nyeusi na mimi nataka gari nyeupe. Nikishaiona kwenye picha kabla najiengua mapema, na kuokoa muda wa kusuimbuana...(Huu ni mfano tu), saababu ziko nyingi mno... Nadhani umeelewa.
 
If ur a serious buyer ni PM tutaongea, kifupi ni 5doors, pearl white, 159000km na haina tatizo lolote isipokua damage ndogo iliyotoka nayo japan upande wa kushoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom