Nyumba ya kisasa inapangishwa bei rahisi -changanyikeni -dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kisasa inapangishwa bei rahisi -changanyikeni -dsm

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Reasoning, Apr 8, 2012.

 1. R

  Reasoning Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imepangwa tayari
   
 2. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmmmh, mkuu ar u serious, hebu tuambie kisa cha kupangisha eneo lote hilo kwa bei rahisi namna hiyo.

  Vyumba vya kulala, frame za biashara, and a lot, au ndo zile sehem ambazo mtu ukiishi unachapwa bakora usiku na mashetani???

  Hebu tuambie ukweli ndugu.
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Changanyikeni kuna matatizo makubwa ya maji
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Zamani kulikuwa na simba huko walikufa wote?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Vipi majambazi washakwisha huko? Naona lami mshawekewa siku hizi,vp lile pori lenye wezi lishatolewa?

  Kwa unayetaka kupanga huko make sure una gari na mguu wa kuku otherwise utakimbia kama jamaa!
   
 6. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  laki mbili nyumba, laki mbili wezi="laki nne, + laki mbili sim mpya kila mwezi+ laki sita, laki mbli kutafuta maji=800000
   
 7. R

  Reasoning Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imepata mteja. asanteni
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahah mie coments zilizotolewa kny hii topic zimenichekesha sana mara kuchapwa usiku na mashetani,,mara majambazi ,mguu wa kuku...lol
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  labda inabidi uonane na mheshimiwa akuazime ile AK47 yake.
   
 10. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  tatizo la maji ni nchi nzima Jabulani labda weye waishi baharini
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  na nikitaka kuinunua huuzi?
   
Loading...