changamkia dili la computa.........

changamkia dili la computa.........

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification na aina pamoja na bei.
 
Unataka Used au Brand New? Na hiyo Flat yenyewe iwe nchi ngapi?
Na unaposema CDR unamaanisha nini? Ukisema iwe inaburn tu haijitoshelezi kwani kuna Drive inayoburn DVD na CD inayoitwa DVDWR, Halafu kuna CDRW-hii inaburn CD lakini haisomi DVD na kuna DVD/CDWR, hii inaburn CD na kusoma DVD.
 
iwe used, yenye uwezo wa kuban DVD, SCREEN 17FT.
 
Nicheki 0713388226..zopo ikiwa na 80gb,dvd writer,1gb ram,17inch flat screen
 
tembelea maduka ya uhuru yapo kariakoo pale utapata kila ki2.
 
Uhuru Computers ni the best wengi wamenunua Kwao then wanauza mtaani na mashuleni,
 
Back
Top Bottom