Msaada kwenye tuta, je wamfahamu/ umemuona huyu binti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta, je wamfahamu/ umemuona huyu binti?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwanamayu, Apr 10, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Tunaomba masaada wa kumpata huyu binti ambaye alikuwa mwaajiliwa wa ndani kwa mjomba wangu pale Masaki ambaye ameiba na kutoroka hivi karibuni. Jina lake ni Catherine a.k.a Cathe. Ana ndugu Kawe, Kimara Mwisho, Kimara Suca, Kiwalani, Gongo la Mboto, Tabata, Manzese Darajani, Mbagala, Mtoni; pia ni amekuwa akidai ni Muumini mzuri wa kanisa la Nabii Mtume Mwingira pale Mwenge; ni Mnyamwezi kutokea Nzega. Taarifa pia ziko polisi. Itakuwa bomba kama tutapata taarifa za eneo/ kitongoji, mtaa na nyumba anayoishi hapa Dar. Natanguliza shukrani zangu

  Cathe 1.JPG Cathe 3.JPG Cathe 2.JPG
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Pole sana vipi umejaribu kufuatilia hawezi kuwa polisi, maana kama ni muumini wa Mwingira jana kuna waumini walikamatwa na polisi maeneo ya kanisani kwa Mwingira kwa hiyo mimi nakushauri kwanza uanzie kwenye vituo walikopelekwa.Pia kama ni mwumini wa Mwingira itapendeza zaidi kama unaweza ukapeleka picha na taarifa zake kanisani unaweza ukasaidiwa lakini pia mbona ana ndugu sehemu nyingi za Dar?
   
Loading...