Toyota corolla for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota corolla for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by L'AMOUR, Apr 8, 2012.

 1. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Located in Arusha; Single user Toyota corolla 1999 in an excellent condition,Ideal for fuel economist Displacement 1300cc ,Air condition, Air-bags,AM/FM/TAPE/CD radio,Anti-locks Brakes, Electric windows,electric Mirrors. Insurance covered up to December 2012, Valid road licence, Mileage 86'000km. No accident involved and going for the Price of 8,500,000 but negotiable.
  For serious enquiries just PM or just reply this post and there we can go. +255 764 617838

  1.JPG 2.JPG
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  111 hiyo kitu cha ukweli ila mkuu tupia bei ili waje wajue kabisa kama hata kama ni makubaliano mtu anajua yupo ndani ya range au out of range. Mfano gari hiyo inauzwa 8 - 9 ikiwa mpya kwa maana ya show room sasa wewe kwa sababu imepata ajali inatakiwa ukate offer publically ndiyo biashara mkuu.

  Weka mileage vile vile mkuu,
   
 3. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu show room hii gari imefika M.11. ndio maana nikaona niwape wadau wanaopenda kubana mafuta mapema ili kama tukizungumza inakuwa safi
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa watu wanaojua magari hiyo ni kama bure.
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  @losambo,acha kumharibia biashara mwenzako,kama hununui kaa kimya,kama unataka jipya nenda yard,the car is in good shape inaonyesha....sasa mkuu,ni automatic au manual transmission?
   
 6. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii gari ni automatic mkuu kwa hiyo unaweza kuikagua bure kabisa ili ujiridhishe nafsi yako kabla ya kufanya maamuzi ya ukweli
   
Loading...