sanyo air cooler for sale @ 250,000 tu.

sanyo air cooler for sale @ 250,000 tu.

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Nauza sanyo air cooler yenye uwezo wa kupoza hewa kwa kutumia maji na barafu. Inafanya kazi kama feni ila upepo wake ni bora kuliko wa feni na si kama wa ac... Ina facility kama swing, cool, timer, na speed tatu tofauti. Inavifuko vya gel inayogandishwa kwenye freezer na kutumika kupoza maji yanayoasababisha hewa kuwa baridi...
Haitumii sana umeme kwani ina watts 120tu...
Bei ni laki mbili na nusu maelewano yapo.
Nb: ukigoogle sanyo air cooler utaona maelezo zaidi.

PIGA SIMU 0714881500 KWA MAWASILIANO ZAIDI. Ukinipm naweza kuchelewa kujibu kwani situmii internet kila mara.
 

Attachments

  • sanyo.jpg
    sanyo.jpg
    2.7 KB · Views: 222
aSANTE Nitakutafuta naamini ni mpya au unayo moja tu?
 
Kwani hii Sanyo Air cooler ikiwa mpya inauzwa kiasi gani ?
Nataka nifahamu kwanza
 
hiyo barafu tunainiunua kwa wamachinga au inatengenezwa na yenyewe? iow..hiyo freezer ni inbuilt?
 
Back
Top Bottom