Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SALAAMS WANABODI! Napenda kuwafahamisha kuwa tumeanzisha huduma ya kupata vitu mbali mbali bila kuathiri shughuli zako na muda wako. Huduma unazoweza kupata ni zifuatazo kwa sasa;kusajili...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau.. mwenye kutoa huduma tajwa hapo juu /anaewafamu wanaotoa hiyo huduma hii anipe mawasiliano nae...fasta. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji Simu ya aina Samsung Galaxy Note ambayo ni locked..If any is able to get t i would so much appreciate t SANA YANI!!...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye simu ya nokia nzuri,nzima afu haijafunguliwafunguliwa,2ongee biashara
0 Reactions
15 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd rom inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Used and refurbished -in a box;1.8Ghz duo core/80GB/1GB RAM/DVDRW/14" screen/3 month warranty-8 pcs available.PM or rakeyescarl@yahoo.ie. 599,999TZS -discount(free delivery)
0 Reactions
2 Replies
930 Views
first 2 buyers will get ZAIN E220 modem....... 0713688266 0774688266
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natafuta new Toyota Vitz....My Budget is 8million....CC iwe from 1000-1300...MILEAGE less than 80,000km.....I prefer gray or black colour
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau nauza BB play book mpya ni kama tablet ina 32 gb bei nusu ya bei ya dukani pm me
0 Reactions
7 Replies
1K Views
pm me for more information and Questions. Maswali Yanaruhusiwa. \\sababu za kuuza ni Kutaka kuwa na Mashine Mpya Yenye Webcam. COMPUTER INA SIFA ZIFUATAZO RAM 4GB HDD 250GB PROCESSOR DUO 2...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vp?? Gari aina ya subaru impreza inauzwa, Ni ya mwaka 1996, Imetembea 126,000km, Bei 4.5m Contacts 0717 543373 0786 305664
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau poleni na mishemishe za kila siku.naomba mwenye information yeyote hapo juu anipm tufanye biashara nahitaji kiwanja iringa mjini kiwe medium size na kiwe na offer vilevile kisiwe katikati ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Ninauza pik up single cabin 12-r engine ya 1989 Ni toyota hilux ya petrol iko registered na katika condition nzuri ipo arusha Bei ni 6.5m Kwa atakayehitaji tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Kwa anayehitaji mahindi ya mwaka jana, yanapatika mkoani Dodoma. Kwa details zaidi piga 0682 716931.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kiukweli ni kwamba sina uwezo wa kuingia dukani na kuulizia hizi simu naomba mwenye nayo bei ninayo laki mbili ,iwe ina uwezo wa 3g au touch screen iliyo tumika ila isiwe mbovu hii kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunauza unga wa mahindi "SEMBE" na pumba safi toka Kibaigwa. Kwa maelezo zaidi 0754013623
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu, natumai mna afya njema. Ninauza gari yenye maelezo yafuatayo: Aina: Nissan Bluebird Year of make: 1995 Colour: Dark Metallic Blue (imeungua na jua) Odometer...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Samsung SGH-E250,inauzwa ni used,ina internet,google opera mini,inatumia memory,camera,video camera,bluetooth pia ni ya slide.BEI 60,000/= TU.SMS AU PIGA NAMBA 0719271039 AU 0765 618067.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
inapatikana tabata bima opposite na st.mary. ni self container yenye vyumba 4, unaweza paki gari hata 5, ina uzio mkubwa na bado mpyaaaa, bei yake ni sh. laki 4 na unalipia miezi kuanzia 6...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom