Habari za asubuhi wana JF.Napenda kuwatangazia kuwa nauza viwanja ila dalali hatakiwi.Viko viwanja nane tu vimebaki vina ukubwa wa mita 15x15 kwa bei ya TShs.1,500,000/=
Kilometa 4.5 toka...
Iwe Moshi au Arusha, Toshiba au Acer preferably. Full accessories, si lazima iwe na OS au hata apps zozote. Nafika hadi 500k.
PM au weka hadharani hapa.
Wandugu,
Salaam.
Nahitaji EFD kwa ajili ya retail shop,My sales are above 40M per year.
Nahitaji sehemu ya kununua kwa bei nzuri.Ni biashara ya kuuza bidhaa ndogo ndogo.
Regards.
Rakey.
Water pump ya Kawasaki model FA130 inayo tumia Petroli inauzwa shs 550,000.Mashine hii ilitumika uingereza katika project moja tu na ipo ktk hali nzuri sana.Na ni mashine ya uhakika na bei yake...
KIWANJA KINAUZWA KIPO OPOSITI NA BARABARA KUU YA MOSHI ARUSHA KM6 KUTOKA KEEPLEFL YA ARUSHA
UKUBWA (23MX18M)
KINA JENGO LA ROOM 4 AMBALO HALIJAKAMILIKA LIPO KWENYE LENTA
KIPO OPOSITI NA...
Saidi watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, vvu na yatima.
kituo cha Santa maria kilichopo Arusha moivaro kinakukaribisha kuchangia chakula, mavazi fedha taslimu kwaajili ya watoto...
Dell Inspiron mini 1GB Ram, 250GB HDD, Intel Atom 1.66GHzX2, 11.6", 5 Hours Battery Life, 350,000/=Tsh in mint condition.
Blackberry Bold 9700 in very good shape 300,000/= Tsh
Nokia N97-1 32GB...
Je, Unataka kujua taratibu na hatua za uchapishaji kitabu chako?
Unataka mtu wa kuhariri kitabu au jarida lako?
Unataka kuchapisha kitabu, jarida, vipeperushi,n.k kwa bei nafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.