Nahitaji kiwanja iringa mjini

Nahitaji kiwanja iringa mjini

MKOBA2011

Senior Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
142
Reaction score
27
Wadau poleni na mishemishe za kila siku.naomba mwenye information yeyote hapo juu anipm tufanye biashara nahitaji kiwanja iringa mjini kiwe medium size na kiwe na offer vilevile kisiwe katikati ya mji sana na kiwe sehemu ambayo ni tambarare siyo kwenye vilima .thank u.
 
Kipo barabara ya kwenda Mby, pale karibu na kibwabwa. Kimepimwa na kinalipiwa kodi, barabara ipo.Kama utapenda maeneo hayo sema tuongee biashara.
 
Back
Top Bottom