external cd room inahitajika

external cd room inahitajika

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd rom inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!
 
habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd room inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!
kaka hapo penye red ndio nasikia leo ndio nini hicho kaka
 
mara nying ndio zinatumika kuweka window au kusikilizia /kutazamia movies katika min laptop unaconect kwa kutumia USB port .last time nimenunua $45 samsung dvd+- wrt{ni ndogo kama kasha la cd empty za sony mkuu inshort ni portable bt very delicate}
 
kaka hapo penye red ndio nasikia leo ndio nini hicho kaka

huenda sio fani yako kama kweli uko serious. anyway, namaanisha Read Only Memory (ROM) au "MLANGO" (kwa lugha za kibongo), (External) yaan mlango wa nje usio wa kupachika kwa ndani kama ilivyo ya kawaida. Natumai sasa umeelewa labda kama unaswali lingine tafadhali?
 
Sawa ''mwenye fani'' nimekuelewa ROOM na ROM ni maneno yaliyosawa,ngoja ni google nipate kuelewa ,wenye fani mnajua kila kitu bana ,ngoja tuwapishe
 
ok! Itakaa vizur zaidi ukigugo, ila ukigundua kuwa unayo pliz naomba unistue
 
habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd room inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!

Ipo HP DVD Writer dvd300e (DVD+RW drive, Hi-Speed USB/IEEE 1394, FireWire) $50
 
habari zenu wanajamvi! Mwenye external cd rom inahitajika, iwe ni dvd writer. Ukiwa nayo nipm tafadhal, specification pamoja na bei ni muhim. Ahsanten!

Nnayo ya LG. . .lete laki nikupatie fasta.
 
Back
Top Bottom