Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Dell Streak 7 WIFI tablet, bei laki tatu na nusu! Ni mpya imetumika wiki moja tu na ina kila kitu chake! serious buyer please PM!
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Msaada jamani Nataka kubadili jina kwenye JF!
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habari JF, Kwa mahitaji ya hapo juu,usisite kuwasiliana nami: Email: estatetz@diplomats.com BR, Real Estate Tanzania Amalinze-CEO
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nyeusi Mpya kabisa unapata kila kitu chake Anayeitaji ani pm Bei 1.5million tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe katika hali nzuri.
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Processor 1.3 Duocore Memory 2GB DDR3 Hard Drive: 250GB DVD RW, Webcamera Window 7 HomePremium 1 year Warranty Price; 585,000/- Call 0784172111 Free Delivery In Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kozi ya kushona nguo lakini natafuta fundi atakayempatia uzoefu wa kutosha awe anajuwa kudarizi pia atapata malipo gani? 1. Kodi atakuwa halipi ya mkataba wa...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Budget yangu ni sh 250,000....nipo dar....0755815174
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Mwenye nayo ani pm tufanye biashara... Nina laki tatu na nusu!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Once again I am enjoying bonus airtime when I top up with Tigo pesa or Tigo rusha .Thanks Tigo I am getting super value , keep it up! BH
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namtafuta mtu anayeitwa Mr Omari Kiwanda. Aliwahi kuwa mhasibu wa polisi wilaya ya Korogwe, then akahamishiwa Polisi Morogoro kwa kazi hiyo hoyo. Baada ya hapo mawasiliano naye yalipotea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hey guys natafuta ipod touch used ya kununua by the end of the month mshahara ukitoka...kama upo interested please PM me your number,price na specification za ipod then mwisho wa mwez au kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuma PM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashine hiyo bandugu, Fair price kama unavyoona (400,000 cash), Haipandi haishuki Specification: HDD 120GB Ram 2GB Processor 2GB Ina web camera pia Pm me is you want it
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Nipo kinondoni dsm Utaipata kwa kiasi cha sh 140000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini Nataka niingie Kariakoo nikanunnue generator: Tanesco ikikata umeme home kwangu nataka niwashe Generator kwa matumizi yafuatayo Taa fridge tv Hiyo fridge sio lazima sana. Kwa mwenye...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
condition safi kabisa unapata na chaji Bei 500000 inapungua kwa maelewano Nyeusi Haijawai kutengenezwa Imetumika
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunauza na kufunga GRP tanks zinapatikana katika ujazo tofauti kuanzia lita 10,000 mpaka lita 2,000,000 na unaweza kupata zaidi ya hapo kwa kutoa order mapema. Hizi tanki ni imara na hazishiki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom