Nina 75000tsh mwenye nokia

Nina 75000tsh mwenye nokia

Apamo

New Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Mwenye simu ya nokia nzuri,nzima afu haijafunguliwafunguliwa,2ongee biashara
 
Naweza ku kuzia blackberry torch 9800 yangu kama ujafanikiwa, ni used 2 months
 
njoo nikuuzie hii ya kwang nokia ya toch! Unapata chaji,headphone,betri mbili original,kobe,kitabu cha maelezo kuhusu simu, box lake, + vocha ya sh. 1500/=
 
njoo nikuuzie hii ya kwang nokia ya toch! Unapata chaji,headphone,betri mbili original,kobe,kitabu cha maelezo kuhusu simu, box lake, + vocha ya sh. 1500/= Yangu ni Nokia E5 imetumika miezi minne
 
njoo nikuuzie hii ya kwang nokia ya toch! Unapata chaji,headphone,betri mbili original,kobe,kitabu cha maelezo kuhusu simu, box lake, + vocha ya sh. 1500/=

mkuu hivi vyote vinatoka na simu moja kwa moja hadi vocha ya 1500 unatisha
 
kwa 600tsh, na cables zake, 4GB SD memory card and 4GB internal memory...nipigia at 0782221405
 
Uelewi nini acha utani wengine hatuna pesa bwana usifikili tumo humu kwa kutua lap top wengine tuna tumia simu mchina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom