Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wadau mwenye kuhitaji hii kitu ni renault ya jeshi la ufaransa awasiliane na mimi kwa no 0754533784
0 Reactions
9 Replies
2K Views
guyz nahitaji digital camera my expenditure is tsh.50,000 kwa anaeuza a-post hapo chini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu habar zenu.. natafu pick up ya kawaida tu ndo nahitaj.. yyte mwny nayo anitumie picha kwny email yng iddronaldo@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maelezo ya haraka, simu ni ya line mbili, ina Ana OS ya android ina wifi, inatumika kama wifi hotspot(ina supply wireless network kwenye computer 4 or 5) ina camera mbele na nyuma n.k Also known...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
This is to all owners of the medium size hotels/restaurants as well as big families. Simgas Tanzania limited has a complete solution for you. Simgas Tanzania limited is proud to launch its second...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Viwanja 21 vilivyopimwa vinauzwa huko Amani Gomvu kigamboni ni mwendo wa km 20 toka feri. kiwanja cha sqm ndogo kabisa katika hivi kina sqm 638. na kikumbwa kabisa kina sqm 1553. vipo jumla ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa asalaam aleykum, natumaini mu wazima.ni kawaida yangu kuwajuza kuhusu biashara mbalimbali zinazopatikana hapa mjini nikiwa kama mdau wa jukwaa hili la biashara. kama nilivyo tambulisha...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita. Nyumba ni self contained, ina 3 bed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba linauzwa Mbeya Mjini, maeneo ya Ilomba, ukubwa wa ekari 11, kilometa 2.5 kutoka barabara kuu kwa bei Million 200. Eneo linafaa kwa kujenga shule nk nk Kwa mawasiliano tupigie no. +255...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wadau wanafanya biashara ya Hoteli za Kitalii au Beach. Lipo eneo la Ekari tano lililopo Kikokwe- Pangani. Eneo hilo linaambatana na maeneo yenye Beach za kisasa za Ushongo Hotels (Emayan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
7
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Nokia E52 with earphones and charger,, very good condition, price: 170,000/=,,piga 0716-904626, 0783115545 Specs: CAMERA: 3.2 MP, 2048x1536 pixels, fixed focus, LED flash...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Blackberry 9900 nyeupe mpya. Bei 750,000/= Sony viao laptop nyeusi ina specs zifuatazo: 6gb 500gb hard disk intel i3 bei 850,000. Kama utahitaji piga 0785 202 202
0 Reactions
0 Replies
765 Views
A rare opportunity to own a parcel of land located just less than 35km from Dar es Salaam city centre and less 25km from the center of Historical Town, Bagamoyo District Council. The land of 8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Napatikana Dar, nahitaji mini laptop.. iwe kwenye hali nzuri au if possible nielekezwe sehemu nayoweza pata ya mtumba.. dau langu ni 300,000/= za Kitanganyika..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza kabati la kioo na aluminium la kudisplay lilikuwa linatumika stationery ni jipya.width 250cm, heigt 125cm.lipo maeneo ya upanga karibu na fire, kama unahitaji piga 0787428754.tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hii ni kwa wale wote wamiliki wa migahawa na hoteli saizi ya kati pamoja na familia kubwa. Simgas tanzania limited inaweletea kwenu gesi itwaayo 'gesi 2000' hii ni baada ya mafanikio ya miezi 10...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Housing ya toshiba satellite a205 s5801,inahitajika kama unayo please pm
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Back
Top Bottom