Kiwanja chenye title kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja chenye title kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mkazuzu, Jul 27, 2012.

 1. Mkazuzu

  Mkazuzu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wakubwa asalaam aleykum,
  natumaini mu wazima.ni kawaida yangu kuwajuza kuhusu biashara mbalimbali zinazopatikana hapa mjini nikiwa kama mdau wa jukwaa hili la biashara.
  kama nilivyo tambulisha kwenye heading hapo juu,kuna kiwanja chenye ukubwa wa 41 x 38 au square meter 1558,kipo mbezi juu,TATEDO kina hati,bei ni shilingi milioni 30 kwa eneo zima au milioni 15 kwa nusu eneo.
  wasiliana moja kwa moja na Mr.M Mihayo simu:0719810971 na 0717567879,madalali hawatakiwi.
  thank you:loco:
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hivi kiwanja chenye hati kinaweza vipi kuuzwa nusu?
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Nadhania kila mmoja atapata nusu hati, teh teh teh!
   
Loading...