Habari wadau!!!!
Kutokana na ushindani na ukosefu wa ubunifu tumejikuta watu wote tunafanya biashara moja na kunyanganyana wateja kwa hali zote mpaka kwa ndumba.
Kwa kuliona hilo tunatengeneza...
Mjasiriamali Deogratius kilawe Wa MIKONO Business consult(C.E.O)atazindua kitabu chake pale Holiday inn hotel ikiambatana na semina inayokwenda kwa jina "TAMBUA FURSA ZILIZOPO TANZANIA ZA...
Habari nauza kiwanja Mbezi Maramba mawili njia inayokutanisha mbezi na Kinyerezi.
kipo barabarani eneo zuri.kina ukubwa wa 20x20.bei maelewano
Piga 0717-706259
Mbano
hello,
This is for all owners of the medium size restaurants/ hotels as well as big families. Simgas Tanzania Limited has a complete solution for you with its completely new product launched...
Ni kiwanja kizuri kipo pembeni ya barabara kwa mujibu wa ramani. kipo eneo la Bunju A wilaya ya kinondoni. kina sqm 1,000 kimepimwa na kina hati. tunahitaji mnunuzi wa haraka bei powa ni Tsh...
Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana.
Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya...
Nimepambana na udanganyifu mkubwa wa ukusanyaji kodi unaofanywa na watu ambao siyo waaminifu kwa kutumia jina la TRA. Mwenye namba simu nambako naweza kuripoti tatizo nililokutana nalo tafadhali...
Wadau ninauza gari yangu aina ya Toyota Premeo iko katika hali nzu ya mwaka 1998 nimekuwa nikiitumia kwa matumizi binafsi na regular service. Ni imara kabisa mwenye hela anitafute wiki ijayo...
Habar!Nahitaj laptop ya kununua. Iwe ni inchi 14 na ram isiwe chin ya 4gb na hdd 500gb. Iwe ni dell latitude e series, dell xps au lenovo. Tuchekiane kupitia 0753196849
Waungwana nauza panasonic PABX yenye uwezo ya kufunga simu za analog 150 na simu za digital 16 pia unauwezo wa kuunganisha na line 16 external
Inafaa kwa kushuli zifiatazo
Mashule
Hotels
Guest...
Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.