Eneo la kando ya bahari ya hindi linauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo la kando ya bahari ya hindi linauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MAKOLE, Jul 27, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwa wadau wanafanya biashara ya Hoteli za Kitalii au Beach. Lipo eneo la Ekari tano lililopo Kikokwe- Pangani. Eneo hilo linaambatana na maeneo yenye Beach za kisasa za Ushongo Hotels (Emayan Beach, The Tides, na Coco Beach-Pangani)

  Eneo hilo pia tayari linapakana na mahotel mengine ya kitalii. Kwa aliyetayari, mwenye nia ya kuwasiliana kwa ajili ya biashara tafadhali ni PM then tutaongea.
   
Loading...