Viwanja vinauzwa amani gomvu kigamboni sqm sh 8,000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa amani gomvu kigamboni sqm sh 8,000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 27, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Viwanja 21 vilivyopimwa vinauzwa huko Amani Gomvu kigamboni ni mwendo wa km 20 toka feri. kiwanja cha sqm ndogo kabisa katika hivi kina sqm 638. na kikumbwa kabisa kina sqm 1553. vipo jumla ya viwanja 21 kwa anayetaka tuwasiliane
  0657 145555, 0755 099 291, 0778 625039 na 0686 200 117 bei sh 8,000 per sqm.
   
 2. s

  sparrow Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipo umbali gani kutoka barabara kuu?
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu barabara kuu ipi unayoizungumzia. vipo umbali wa km 21 kutoka kigamboni . tuna viwanja 21 sasa vyote haviko sehemu moja . ila vyote vinavikika na barabara maana vimepimwa. kutoka barabara kuu km nitakuwa nimekuelewa ni dk 3 kwa gari au hatua 100 . lakini c ungepiga cm tukazungumza ingekuwa safi
   
Loading...