Natafuta nyumba ya kupanga Morogoro

Natafuta nyumba ya kupanga Morogoro

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa miezi mitatu kwa kuanzia,iwe maeneo yenye umeme na maji!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom