Viwanja 2 Vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja 2 Vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by msendos4life, Jul 27, 2012.

 1. m

  msendos4life Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300 toka bahari. Kinauzwa 15m, viwanja vyote ni tambarare na vipo ndani ya ramani ya makazi.

  Mwenye kuitaji wasiliana kwa namba 0718519578 or 0684046262
   
Loading...