Waungwana nauza panasonic PABX yenye uwezo ya kufunga simu za analog 150 na simu za digital 16 pia unauwezo wa kuunganisha na line 16 external
Inafaa kwa kushuli zifiatazo
Mashule
Hotels
Guest...
Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5...
Habarini za majukumu wakuu, natumai mpo safi na mnaendelea na ujenzi wa taifa dhaifu kama kawaida! Mi nina Rav 4 ya mwaka 1997, automatic, mileage yake ni 113,000, namba BXR, ya silver, milango 5...
Asali mbichi toka sikonge Tabora inapatikana, pia utapata elimu ya jinsi ya kuitambua asali iliyochakachuliwa, iko kwenye containers za lita 1, lita 5, na lita 20.
Lita1 - Tshs. 12,000; lita 5...
Wapi? Kigamboni (km 13 kutoka feri) Unavuka kibada
Kwenye mradi? Hapana. Hili nieneo lililo nje ya mradi wa mji mpya
Ukubwa? Miguu 20 upana, na miguu 45 urefu
Kimeendelezwa? Kina banda zuri...
Waungwana nauza panasonic PABX system yenye uwezo wa kufunga extension 150 za simu ambazo ni analogy na digital
Inafaa kwa matumizi ya
Shule
College/ vyuo
Ofisi
Hospital / zahanati
Hotel...
2005 Toyota Mark II Blit 2.0IR Four with the following specs is up for sale:
2000cc 1G Engine, Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / A/C:front / Power Steering /...
Kama unauza MacBook Pro iliyotumika kidogo na yenye specs zifuatazo NiPM (Ukiambatanisha Picha Utakuwa Umerahisisha kazi)
Originally released October 2011 Or Later
2.4Ghz (au zaidi) Intel dual...
Toyota Voxy Reg no T919 BUK.
STATION WAGON(SILVER) ya 2002.PETROL ENGINE(capacity 1990)...IMETEMBEA KM 69641.BEI MIL 13...
Contacts
0716 390 337
0764 468 469
Shamba Linauzwa, liko maeneo ya Ilomba , ekari 11, kilometa 2.5 toka barabara kuu kwa kiasi cha millioni 200.
Kwa mawasiliano tupigie no. 0762 380001 au 0754 277084
Asanteni.
kiwanja kimoja kipo Buyuni kina Sqm 988, eneo ni zuri na tulivu sana na kuna ujenzi wa nyumba nyingi nyingi za kisasa unaendelea. uwanja umenyooka hauna bonde hata moja .umepimwa, hati, offer na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.