Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita.
Nyumba ni self contained, ina 3 bed rooms (moja ni master), seeting room, Dining room, jiko, store, public toilet & bath room, car pack, fensi ya ukuta, maji ya Dawasa, umeme, na water storage ya lita 12,000. kwa mawasiliano piga 0714432979

NB: wanafunzi wa St.Joseph wanaweza changamkia hii.
 
....Ipo sehemu gani hasa hasa mkuu. Mi mwenyeji huku na watu huwa wanaulizia ulizia kuhusu nyumba za kupanga. Karibu na shule ya sekondari ya Mbezi inn? karibu na Bar ya Container ya kitimoto? Karibu na Mnara wa Vodacom kwenye njia ya kuelekea Mbezi inn sekondari? Wapi hasa hasa?
 
Back
Top Bottom