Ofa maalumu yagesi itumiayo mabaki na taka za vyakula kutoka simgas. No refills costs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofa maalumu yagesi itumiayo mabaki na taka za vyakula kutoka simgas. No refills costs

Discussion in 'Matangazo madogo' started by simgas1, Jul 27, 2012.

 1. s

  simgas1 Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwa wale wote wamiliki wa migahawa na hoteli saizi ya kati pamoja na familia kubwa. Simgas tanzania limited inaweletea kwenu gesi itwaayo 'gesi 2000' hii ni baada ya mafanikio ya miezi 10 ya gesi yake ya toleo la kwanza ''gesi 550''.

  Ukiwa na gesi 2000 utahitaji mabaki na taka za vyakula vyenye uszito wa kuanzia kilo nne kwa siku. Mabaki hayo ni kama; maganda ya nyanya, maganda ya matunda, maganda ya mboga za majani, maganda ya viazi, mihogo pamoja na mabaki mengine ya vyakula kama ukoko wa ugali , ukoko wa wali pamoja na vipolovipolo vyote. Unahitaji kuchanganya na maji na kujaza mtambo kila siku. Mabaki hayo yatageuzwa kuwa gesi safi ya kupikia inayoweza kuwaka plate zote mbili kwa masaa manne mfululizo kila siku. ( Taka zako, gesi yako hakuna gharama za ujazaji gesi tena...) haina harufu

  Simgas itakuuzia mtambo na kukupatia jiko la gesi la plate mbili bureeeeeeee. Guarantee ni miaka miwili na kwa wateja wa dar es salaam watafikishiwa mtambo huo bureeee na hakuna gharama za ufungaji.

  Gharama ya gesi 2000 ni sh 950000. Kwa vile ndio tumeitoa simgas tanzania limited inatoa ofa maalumu kwa wateja 100 wa mwanzo... Ofa hiyo itawawezesha wanunuaji kununua gesi kwa malipo rahisi zaidi. Mteja atahitajika kulipa sh 50000 tu na atafungiwa mtambo na kisha kila mwisho wa mwezi atahitajika kulipa sh 50000 kwa miezi 18 na gharama yake yote kwa ujumla itakuwa ni tsh 950000 hakuna riba.

  wahi sasa kwani ofa inakariba kufungwa. Ofa hii ni kwa wateja wa dar es salaam tu. Ukichelewa utalazimika kulipa gharama yote ya tsh 950000 kwa mkupuo.


  Kwa mawasiliano zaid jinsi ya kununua mtambo tafadhali tuwasiliane kupitia 0714519831... I am the sales team leader. kwa maelezo zaid tafadhali tembelea tovuti yetu Welcome to SimGas


  ahsanteni
   
Loading...