anayehitaji gari ya kupiga mzigo(utalii)

anayehitaji gari ya kupiga mzigo(utalii)

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
wadau mwenye kuhitaji hii kitu ni renault ya jeshi la ufaransa awasiliane na mimi kwa no 0754533784
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    550.6 KB · Views: 115
Watalii watakaa wapi hapo??
Wewe sema labda la kubebea mbao au magogo
 
Hiyo gari si lilishakua chuma chakavu, wewe umelipaka rangi tu.
 
hiyo gari si lilishakua chuma chakavu, wewe umelipaka rangi tu.

hamna kaka hiyo mashine imeingia nchini mwaka jana mwishoni kutoka ufaransa na imesajiliwa mwaka jana na kodi zote zimelipwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom