Meet with a PhD graduate capable in process your research/assignments data to give meaningful conclusions. My target groups are Undergraduate and Master. Please contact: 0719-84-38-98, or...
Gari Cardina inauzwa, iko katika hali nzuri, inatumia spring na inafaa kwa ajili ya biashara mjini na hata vijijini, ipo dar es salaam. garama ni 6m. kwa maelezo zaidi piga 0654721287.
Hello wana jf, nahitaji tanzania phamarcy council registered phamarcist kwa ajili ya kusimamia phamarcy yangu iliyopo dar.mshahara maelewano...serious applicant..plse pm
habari wana jf napenda kuwatangazia kua nauza iphone 5 ambayo nimeinunua mpya na nimeitumia wiki tatu tu haina mchubuko wowote na ipo ktk hali nzuri haina matatizo bei nataka mil 1.4 (1400,000/=)...
habari zenu mm ninauza gari aina ya toyota vx limited haijawahi kupata ajali ilikua haina safari za mbali pia ipo fresh
hali nzuri bei 32,000,000 kwa mawasiliano 0712-212220 zaidi angalia picha...
Nissan partol manual five door black metaric........imetembe kilometa chache ipo oda bado inauzwa bei chee milion 19..... Anae hitaji nipigie 0713935738
HTC one X New with box ---- 980,000Tsh SOLD
HTC sensation NEW no box! ---- 750,000Tsh SOLD
GALAXY NOTE 10.1 used ---- 986,000Tsh SOLD
GALAXY NOTE 2 newno box 32GB----...
Gari aina ya toyota land cruser prado inauzwa ipo arusha na ni imported kutoka japan this month in CC 2690 imetembea km 38502 inatumia petrol na ina piston nne kwa anahitaji wasiliana nami kupitia...
Milango mitatu ubungo riverside kwa laki moja tuu kwa kila mwezi (wafanyabiashara) unaweza kuli[pia kwa miezi kumi au mwaka mzima karibu uone au pigaa simu namba 0653757557 au 0764435828 karibun...
Raharaha Arts Troupe inasaka wasanii na vipaji vifuatavyo:-
1- Wasanii wa sarakasi wa aina zote
2- Wasanii wa ngoma za asili yaani wapigaji, waimbaji na wachezaji
Kwa kazi za sanaa za ndani ya...
Eneo linauza ukubwa NUSU ACRE kibaha misugusugu, linatambulika na serikali ya mtaa hata kwenye mauziano lazima watahusika Tsh 2.3Mil atakevutika na sehemu anicheki!!!!
Nimekuwa nikipitia humu JF na kukuta matangazo mengi ya kuuza viwanja maeneo ya tegeta, boko, na madale. Na mengine humu yanasomeka kiwanja kipo eneo fulani na ukiwa serious unataka kununua...
Wakuu natumai mu wazima!
Nahitaji ushauri katika manunuzi ya TOYOTA SIENTA (2003-2004)
Katika kupitia website tofouti tofouti nimeona CIF yake sio mbaya, ila kuna vitu nahitaji kujua
Mfano...
Unapenda kuwa wakala wa star times ?, uwe unauza decoder/ voucher za star times huku kampuni ikikupatia matangazo/ banners..na vitendea kazi vingi kama fulana nk ?! Please tuwasiliane
habari wanaJF,
naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo...
Ndugu zangu natafuta nyumba ya kupanga Moshi mjini Kuanzia mwezi huu wa January 2013, eneo la karibu na usafiri wa daladala.
Iwe na walau vyumba viwili vya kulala na sebule, jiko (kitchen) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.