Bouncer
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 344
- 249
Nimekuwa nikipitia humu JF na kukuta matangazo mengi ya kuuza viwanja maeneo ya tegeta, boko, na madale. Na mengine humu yanasomeka kiwanja kipo eneo fulani na ukiwa serious unataka kununua unapelekwa eneo tofauti na tangazo.
Ndugu wanajamvi nawatahadharisha kwamba muwe makini sana mnapotaka kununua hivyo viwanja kwani vingi ni utapeli tu unaendelea. Kuna watu wamekamatwa kwa huu utapeli, ila bado wapo wengi kwenye huu mtandao na wanaendelea kutapeli watu
Tena ukikuta ni maeneo yale ya bomoabomoa iliyofanyika madale na maeneo ya jirani ndo uwe makini zaidi, kwani yana wenyewe na waliokuwa wavamizi kwa sasa wanajifanya ndio wamiliki halali na wameamua kukatakata vipande na kuuza viwanja.
BE WARNED!