Gari aina ya Toyota land cruser prado inauzwa

Gari aina ya Toyota land cruser prado inauzwa

Maluo

Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
58
Reaction score
3
Gari aina ya toyota land cruser prado inauzwa ipo arusha na ni imported kutoka japan this month in CC 2690 imetembea km 38502 inatumia petrol na ina piston nne kwa anahitaji wasiliana nami kupitia mail papaking4@yahoo.com

asante
 
mkuu ukiweka picha inapendeza zaidi na ni ya mwaka gani, model yake nk
 
mkuu ukiweka picha inapendeza zaidi na ni ya mwaka gani, model yake nk[/QUO

ni vyema kwa yeyote anahitaji picha na detail nyingine tuwasiliane hapo katika mail yangu nitakujibu mara moja

asante
ila ni ya mwaka 2003 imeshalipiwa ushuru na registration

asante
 
Mkuu weka picha na bei yake usiogope.
 
Weka Bei, tuichangamkie hiyo

sijui kama ataweka, nijuavyo ukiona mtu kapost tangazo nusu nusu ujue anataka apige cha juu, anajua tu akiweka hapa watu watamlipua.
ila nasubiri kuona ushauri wako umezingatiwa
 
Huyu ni dalali tu na si mwenye gari, mwiko kuweka bei.
 
Back
Top Bottom