Unaitaji kuwa wakala wa star times ?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Unapenda kuwa wakala wa star times ?, uwe unauza decoder/ voucher za star times huku kampuni ikikupatia matangazo/ banners..na vitendea kazi vingi kama fulana nk ?! Please tuwasiliane
 
Frozen umejiandaa vipi?? Yaani huyo mtu unataka afanye nini??
Have looked into the issue and kwa yule ambae anaweza invest 'M'
kadhaa ina faida saana in the long run (lets say labda after 14 months)
kwa yule wakala mkubwa ambae anashika mkoa and others wadogo wadogo
waje chini yake... Kwa hio.... what exact part wee una chukua/cheza for a person kuku contact??
 
Unapenda kuwa wakala wa star times ?, uwe unauza decoder/ voucher za star times huku kampuni ikikupatia matangazo/ banners..na vitendea kazi vingi kama fulana nk ?! Please tuwasiliane
<br />
<br />
Ebu funguka vema mkuu...huo uwakala kwa maeneo gani ya nchi(mikoa)?
 
kaka, kwa sasa ni mikoa ya dar, mbeya , tanga, iringa, zanzibar, pls tuwasiliane kwa more info....
unaweza ntumia email yako then tukawsiliana zaidi.
thanks
 
mtaji ni 550,000 /= kwa dekoder 10, ambapo wewe unauziwa kila dekoder 55000/= na kuuza 59900/= bei ni moja kwa mawakala wetu wote. lakini kama unaweza chukua mzigo mkubwa zaidi bei inapingua zaidi, na vifaa vyote, dekoder pamoja na matangazo yote tunakuletea mpaka ofisini kwako. pia mawakala wanakuja kwa ajili ya mafunzo na shughuri nzingine zinazo andaliwa na kampuni , is very nice . karibu sana
 
Mkuu mimi nahitaji hiyo kitu,nimekupm.
 
Nasikia mikoa kama Iringa hata ukiwa na hicho king'amuzi cha star times, hakikamati. Unasemaje kuhusu hilo?
 
Back
Top Bottom